Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment for Rent za Kisasa nzuri
Location Ubungo Riverside Dakika 12 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 450000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Room 2 Moja ni Master Bedroom
Sitting room
Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Luku yake
Fully A/C Chumbani
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Slide window
Tiles
Gypsum
Garden
Good environment
0712500602
0755336565