Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
(450,000X6)UBUNGO MAKOKA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NI APARTMENT NZUR MPYA KABISA INAPANGISHWA
IPO UBUNGO MAKOKA KWA MKUA UMBALI WA DK 4 TU KUTOKA BRBR YA LAMI NA BRBR NI LAMI MPKA GETIN
WALE WENYE MAGARI YA CHIN WAI MAPEMA
KODI NI 450,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA VIWILI
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET
LUKU YAKE
MAJI YAKE
DAWASA YANAFLOW NDAN
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
NDAN YA FENS
PARKING SPACE KUBWA
PERVING BLOCK ZINAWEKWA
MAZINGIRA MAZURI
UFIKAJI
======
UKITOKEA KIMARA KOROGWE UNAFIKA
UKITOKEA UBUNGO EXSTENO UNAFIKA
KOTE USAFIRI WA BAJAJI UPO 500
PIA PANA DALADALA ZA KUTOKEA MJIN MOJA KWA MOJA KUPITIA UKU KWA MKUA KUELEKEA MBEZI MWISHO
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT
0716223412
0683597453