Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment for Rent za Kisasa nzuri Mpyaa
Location Ubungo Riverside Kibangu Dakika 10 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 450000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
=========
Room 2 Moja ni Master Bedroom
Sitting room
Dining room
Jiko
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy sio ya Kulala Gari
Slide window
Tiles
Gypsum
Apartment zipo 3 Moja ndio ipo wazi
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565