Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
IPO UBUNGO MAKOKA
KM 2 KUTOKA MENROAD USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA DK 2 UPO NYUMBAN
INAKUA WAZ LEO JION
KODI NI 270,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
SIFA ZAKE
=========
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA #SEBULE DAINING JIKO NA CHOO NDAN PUBLIC. aina master
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE IPO LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDAN
BRBR NI LAMI MPKA NYUMBAN KWA WALE WENYE MAGARI YA CHN MSIHOFU KABISA
SERVICHAJ ELFU 10
CONTACT
###0655256419