Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
WAI MAPEMA INAKUA WAZI TAR 30/01/2025 KUJA KUIONA NA KULIPIA NI RUKSA
.
.
NI APARTMENT NZUR SANA INAPANGISHWA
.
.
#KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
.
SIFA ZAKE
########
#VYUMBA VIWILI
#KIMOJA MASTER
#SEBULE
#JIKO
#PUBLIC TOILET IPO KWANJE
#TILLES
#GYPSUM
#ALUMINIUM
#LUKU YAKE
#MAJI YAPO
#DAWASA
#YANAFLOW NDAN
#NDAN YA FENSI
#PARKING SPACE KUBWA
#PERVING BLOCK SAFI
#MAZINGIRA MAZURI
.
.
LOCATION: #UBUNGO_MAKOKA_KWA_MKUA
#UMBALI WA KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO KOTE UNAFIKA NYUMBAN USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 NA UKISHUKA KWENYE BAJAJI DK 4 UPO NYUMBAN.
.
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
0715949085
0782838336