Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: UBUNGO MAKOKA
Distance: KM 2 Kutoka Mandela Road
Usafiri 24Hours Bajaji 500, Boda 1000
PRICE: 350,000 × 6
✍️Sebule Kubwa Sana
✍️Vyumba VIWILI Vikubwa
✍️Kitchen With Cabinets
✍️Public Toilet Inside 🚻
✍️Umeme Na Maji Unajitegemea
✍️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✍️Reserve TANKS
✍️Fenced &Parking Yakutosha 🚘
✍️Good Environment 💥
Unaweza Ukapitia KIMARA KOROGWE Mwendokasi
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
1 Month Agent Commission



















