Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment house for Rent zipo 2 tuu Kwenye Fancy Moja
Location Ubungo Msewe
Kodi 500000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Room 2 za Kulala Moja ni Master Bedroom
Sitting Room Kubwa
Jiko
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Tiles
Gypsum
Apartment zipo 2 tuu Moja ndio ipo wazi
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565