Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
Apartment inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE
Nyumba ina vyumba viwili vya kulala
Sebule kubwa
Jiko la kisasa (Open kitchen)
CHOO PUBLIC TWO IN ONE
PUBLIC ANATUMIA NA MASTER ANATUMIA
TAILZY
GIPSAM
ALUMINUM SLAIDING WINDOW
MAZINGIRA MAZURI SANA
NYUMBA HAZINA FENSI PARKING SPACE IPO YA KUTOSHA NA USALAMA WA KUTOSHA
Luku yako
Maji yana flow ndani
Kodi 300,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
SERVICER_CHARGER_15000/=
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.