Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam


β¨ APARTMENTS MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA β TEGETA WAZO
π Eneo: Tegeta Wazo β Umbali wa mita 500 kutoka lami
π Aina: Vyumba 2 (vyote Master)
π΅ Kodi: TSh 700,000 kwa mwezi
π Malipo ya kuanzia: Miezi 6
---
MAELEZO YA NDANI:
Vyumba 2 vya kulala vyote ni Master
Sebule kubwa yenye mwanga wa kutosha
Jiko la kisasa
Choo cha wageni (Public toilet)
---
IDADI YA APARTMENTS: 4
Mazingira tulivu, salama, na yanayofaa familia.
π Wasiliana nasi kuona nyumba:
#0758998074π
#0689138795whatsapp