Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Dar Es Salaam


🏠 INAPANGISHWA APARTMENT –GOBALASTANZA
DAR ES SALAAM
💰 Kodi: Tsh MIL 1,000,000/= kwa mwezi
Malipo ya miezi 6
✨ Sifa za nyumba:
• Vyumba 2 vikubwa vya kulala ni Master
• Sebule kubwa na Jiko lenye makabati
• Bafu la ndani na la public
• Gypsum, Tiles, na Windows za Slides
• Umeme wa Luku binafsi
• Maji ya bomba saa 24
• Parking space ipo
• Nje imepangwa kwa Paving blocks
• Nyumba imezungushiwa uzio (Fenced)
📞 Wasiliana nasi:
06595O7709
📍 06595O7709
#mbatizaji_real_estate #apartmentdar #gobadar #nyumbadar #dalalimbezibeach1tzrealestateTanzania



















