Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


Apartment Kali Sanaa
@
Inapangishwa
@
Bei 800.000 kwa mwez
@
Mahali sinza
@
Malipo miez 6 na dalali 7
@
Umeme mita na maji pia
@
Ni nyumba ya vyumba 2 sebule jiko choo
@
Chumba kimoja master
@
Parkingi ipo
@
Ofisi zetu Zipo sinza lego
@
Garama ya kuoelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasilino ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687



















