Nyumba ya vyumba 25 inauzwa Ilala Bungoni, Dar Es Salaam


Aina
Nyumba
Vyumba
25
Huduma na Sifa
Maelezo
Gorofa inauzwa ilala bungoni full document mmiliki ni mmoja. tu anauza BL 4 maongezi yapo kila floor Ina room 6 anachukua ml 2 kwa floor 1. ziko floor 4 na juu kuna chumba na jiko chini kuna godawn 2 na frem kubwa mbele.
Contact 0712531657
0789731695



















