Nyumba (Furnished) ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBEZI BEACH FULL FURNISHED
---------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Full air condition
Tiles
Gypsum
Slide window
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 20,000/=
Kodi USD 1500 kwa mwezi
Ilipwe miezi 6
------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni USD 1500
------------
CONTACT
π#0676__218580 (WhatsApp)
π#0693_673010
#DALALI_BIG_GOBA_MBEZI_BEACHπΉπΏ