Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam







🏡 INAPANGISHWA – STANDALONE VYUMBA 3
📍 Bunju B – Nyumba ya pili kutoka lami
🔑 Muundo:
• 🛏️ Vyumba 3 (1 Master, 2 vina makabati)
• 🛋️ Sebule + Dining
• 🍽️ Jiko
• 🚽 Choo cha Public
• 🏪 Fremu 1 ya biashara yenye stoo
• 💧 Maji DAWASCO
• ⚡ Umeme LUKU
📝 NB: Marekebisho yote yanafanyika, ikiwemo kupigwa rangi 🎨
💰 Kodi: Tsh 500,000/= kwa mwezi
🧾 Service Charge: Tsh 20,000/=
📞 Mawasiliano:
0687 800 788 / 0713 958 395



















