Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


18/5/2025
Nyumba inapangishwa stand alone Inajitegemea
Location bunju A mianzini
Kodi MIL 1.5 kwa mwezi
Miezi 6
Vyumba 3 kimoja master sitting room dinning room kitchen cabinet public toilets Inajitegemea
Full ac
Piga simu O745010009 au 0742707023