Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam







🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – STAND ALONE
🔐 Nyumba iko ndani ya fensi (usalama wa kutosha)
📍 Mahali: Bunju - Mingoi
📌 Maelezo ya Nyumba:
🛏️ Vyumba 3 vya kulala (1 ni Master)
🛋️ Sebule yenye nafasi
🍽️ Chumba cha kulia chakula (Dining)
🍳 Jiko zuri lenye nafasi
🗄️ Stoo
🚽 Public Toilet
💰 Kodi: Tsh 300,000/= kwa mwezi
🔧 Service Charge: Tsh 20,000/=
📞 Wasiliana nasi:
WhatsApp/Simu: 0687 800 788