Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam







🌟 STAND ALONE KALI SANA – BUNJU 🌟
🏡 Nyumba imezungushiwa uzio (Electrical Fence)
📍 Location: Bunju – Dakika 2 tu kutoka stand
Ndani ya Nyumba:
🛏️ Vyumba 3 (1 Master Bedroom)
🛋️ Sebule kubwa + Dining
🍽️ Jikoni | 🚽 Choo cha Public | Stoo
❄️ AC kwenye Sebule na Master
🚨 Alam ya usalama getini
Nje ya Nyumba:
🏠 Vyumba 3 vya nje
🚽 Public Toilet ya nje
💧 Maji: DAWASCO
⚡ Umeme: LUKU
💸 Kodi: TZS 500,000/= (Kuanzia miezi 6)
🧾 Service Charge: 20,000/=
📲 Wasiliana:
0687 800 788 / 0713 958 395 (Call/WhatsApp)