Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
Inapangishwa: Stand alone (KODI MILIONI MOJA KWA MWEZI, MALIPO MIEZI 6)
Location :: Goba njia nne
Bei yake :: 1,000,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba vitatu (kimoja ni Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans & Air Conditions
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
Call/Whatsapp;
#0754344786
#0652472014