Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Apartments ya Vyumba #vitatu vya kulala
Sebule kubwa
JIKO kubwa
Public toilet
Master bedroom
Ndani ya fence
Umeme na maji unajitegemea
_____________________________
BEI LAKI 400,000 kwa mwezi
Malipo ya miezi 6.
__________________
IPO Goba contena
Dar es salaam Tz.
_________________
Number
#0743456099whatsp
#0689193185call