Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


#STAND ALONE KUUBWA_ YA KIFAMILIA İNAPANGİSHWA #GOBA _ MAGETI_10 dakika Toka lami ni mita 800
Vyumba 3 vya kulala, Viwili master
Sebule
Jiko kubwa lenye makabati
Parking
Maji na Umeme mita yako
Choo cha familia
Kodi 900,000/= × 6
Kuona site survey charge 20,000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba
kwa maelezo zaidi piga O677370515/0688991244



















