Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kariakoo, Dar Es Salaam


Hii apartment ni mpyaaaaaa ijakaliwa 
Ipo kariakoo faya ipo floor ya 8 lifth ipo generetha inavyumba vitatu kimoja ni master sebule jiko choo Cha pablic bei dollar 800 Kwa mwezi Kodi MIEZI 6 
Ukitaka full fanish inapangishwa dollar elfu 1200 Kwa mwezi Kodi MIEZI 6 gym ipo spool wai bila kuchelewa
#0716938128 
#0692198834




















