Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
800,000 x3. 0759151524
FURNISHED HOUSE FOR RENT AT KIBAMBA GOGONI
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule dinning jiko na public toilet, basement kuna master bedroom pekee
Kodi 800,000 × 3 ( MAONGEZI NJOO SITE)
Nyumba ina kila kitu ndani , full AC
Umbali KM 1.5 Usafiri bodaboda 1000
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679 956 863
0759151524