Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI 
<> location kisiwani 
<> vyumba vitatu kimoja master sebule na jiko 
✅nyumba iko fenced 
✅mazingira mazurii
✅nyumba iko barabarani 
✅nyumba mpya kabisa
✅nyumba ina parking 
<> asking price 500k per month 
mwezi moja wa dalali_edgar
<> service charge 20k
🔳Mawasiliano 
✅0628505896
✅0763954837




















