Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(700,000X6)KIMARA MWISHO 2KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 700...AMKA NA HII MAPEMA SANAAA
➖➖➖➖➖➖➖
NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*VYUMBA 3VITATU VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, SEBULE,JIKO, DINNING, STORE, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
*STAND ALONE, NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 700,000/= KWA MWEZI
_____________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
======================
*WSP:
0716223412
======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
_____________________________