Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA LAKI 8 MIEZI 6
NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE
DAR-SALM.KUTOKA MOR ROAD MBAKA KWENYENYUMBA KM 1.5
NYUMBA NI MPYA MPYA UNAANZA NAYO MWENYEWE
NYUMBA HII NI KUBWA YA KISASA BEI LAKI 8 TU
INA VYUMBA 3 VA KULALA VIWILI VYOTE MASTER SEBULE KUBWA YENYE DINNING
JIKO KUBWA LINAMAKABATI
INA PUBLIC TOILET YA NDANI
AIR_CONDITION
PARKING KUBWA
FULL A/C
SERVICE CHARGE 20000
PESA YA DALALI MWEZI MMOJA
0712500602 wtsp
0755336565