Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(700,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗕𝗨𝗖𝗛𝗔
NYUMBA NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 700,000/= × 6
NYUMBA HII KWENYE FENSI MOJA ZIPO NYUMBA 2 TUU KUNA HII KUBWA YA MBELE NDIO INAPANGISHWA NA INASIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#AIR-CONDITION 𝗔/𝗖
#GARDEN
#PARKING KUBWA
#ZIPO NYUMBA 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI
BEI NI 700,000/= × 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 20,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300