Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA SANA INAFAA KWA FAMILIA KUBWA WAPANGAJI 2 TU HII NDIO NYUMBA KUBWA INAPANGISHWA #BEI 600K
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 2 NI MASTER
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#STORE
#DINING
#PUBLIC TOILET
#MAKABATI VYUMBANI KOTE
#PAVING BLOCKS NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 8 - 10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 600,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300