Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(500,000X6)KIMARA BUCHA DK 3 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD 
➖➖➖➖➖➖➖➖
NYUMBA KUBWA YA KUPANGA.
KIMARA BUCHA 500K
✔️SEBULE KUBWA SANA,
✔️VYUMBA VITATU VYA K ULALA 
✔️KIMOJA NI MASTER
✔️JIKO 
✔️PUBLICK TOILET
LUKU  INAJITEGEMEA
 MAJI NI DAWASCO YANAFLOW NDANI
BARABARA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
ITAKAYOKUWA WAZI NI YA JUU
NYUMBA INA TAILS
GIMPSUM
G
MADIRISHA YA KIOO 
MAZINGIRA MAZURI NYUMBA IPO NDANI YA FENSI 
LOCATION KIMARA BUCHA DK 3 KUTOKA MWENDOKASI
BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
HAPA KUNA APATMENT 3 NDANI YA COMPOUND 1
NB: NYUMBA HII ITAKUWA WAZI TAR. 10/12/2024
 
KARIBUNI
➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453



















