Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI NYUMBA ZIPO 2 TU KWENYE FENSI MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#STORE
#CHOO CHA WAGENI NDANI
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 5 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA MPKA UPATE NYUMBA
0715949085
0782838336