Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 #STAND ALONE INAPANGISHWA
HII NYUMBA INAJITEGEMEA KWENYE FANCE IPO PEKE AKE
➖➖➖➖➖
📍Kimara Suka
🕑umbali kutoka standy ya mwendo kasi km 1.5 boda boda 1000 mpaka getini
#SIFAZAKE
🔹Vyumba vitatu(2) vya kulala kimoja master
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹Umeme LUKU yake, Maji yanaflow ndani
🔹Fenced Car Parking kubwa
🔶Kodi Tsh 400, 000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali roony Tsh 400, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu
0727977383
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊