Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
#STAND_ALONE/ INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE ENEO LAKE HAINA UZIO INAPANGISHWA KIMARA SUKA #200k
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule dinning jiko na public toilet
Kodi 200,000 kwa mwezi × 6
Umbali KM 1.5 Usafiri bajaji na Bodaboda 1000
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
0679447338
0753454167