Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA KONA DK5 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
--------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sna
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 600,000/=ร6
-โ---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 6
------------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693__673010
#DALALI_BIG_KIMARA๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT ๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐