Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA HII KUBWA SANA INAJITEGEMEA HAINA FENSI INAFAA KWA FAMILIA KUBWA
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#VYUMBA 2 MASTER
#JIKO KUBWA SANA
#CHOO CHA FAMILIA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA HAIPO KWENYE FENSI PARKING IPO KUHUSU USALAMA UPO WA KUTOSHA GARI ZINALALA NJE VIZURI KABISA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 4 KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#0785889413
#0785889413๐๐๐๐ก๐ _๐ด๐๐๐ฒ๐ฒ