Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA SANA INAFAA KWA FAMILIA KUBWA WAPANGAJI 2 TU HII NDIO NYUMBA KUBWA INAPANGISHWA #BEI 600K
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#VYUMBA 2 NI MASTER 
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI 
#STORE 
#DAINING 
#PUBLICK TOILET 
#MAKABATI VYUMBANI KOTE
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA  PAVING BLOCKS NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA 
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE 
#MAJI DAWASA NDANI 
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI 
#BEI NI 600,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Kwa maelezo zaidi piga :--
O677370515




















