Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#STAND_ALONE NZURI KABISA ILIYOPO MTAA MZURI KABISA INAPANGISHWA
#BEI 500K X6 ILIPWE LAKI TANO MALIPO YA MIEZI SITA
LOCATION:
#KIMARA_KOROGWE_KWA_MKUWA UNAWEZA PITIA #UBUNGO_EXTRENAL BAJAJI 500 PIA KUNA DALADALA ZA MOJA KWA MOJA KWENDA KARIAKOO
SIFA ZAKE
#VYUMBA VITATU VYA KULALA 2 MASTER
#SEBULE KUBWA
#DINNING ROOM
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
NYUMBA HII IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK FULL GARDEN
NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE 20,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
N.B NYUMBA HII ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01.12.2025
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747



















