Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#KODI 500K MALIPO MIEZI X6
APARTMENT KWENYE COMPAUNT ZIPO (2)
LOCATION KIMARA KOROGWE 👉 KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM2
SIFA ZA NYUMBA 👇
VYUMBA VITATU VYA KULALA
SEBULE KUBWA SANA
DAINING KUBWA
JIKO KUBWA
TOILET BUPLICE NDANI
❌️AKUNA MASTER BEDROOM
TYRIES GPYSAMU
DILISHA ALUMINIAMU
UMEME MITA YAKO
MAJI YANA TIRIRIKA NDANI
PAVING BLOCK
PARKING IPO KUBWA
NYUMBA FENCI YAKE IJAKAMILI UPANDE MOJA
KODI SH.500,000 MALIPO MIEZI X6
KUONA NYUMBA SH.20000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA🤝
0677445508