Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 500,000

NYUMBA HII NZURI IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA NA ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01/11/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO

🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#GARDEN

#ZIPO NYUMBA MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA

BEI NI 500,000/= X 6

💫💫 NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU USAFIRI NI BAJAJI NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

Contact:: 0672 673363

DALALI PATRICK KIMARA |MBEZI |GOBA | KIBAMBA
dalali_patrick_kimara_mbezi
DALALI PATRICK KIMARA |MBEZI |GOBA | KIBAMBA

Similar items by location

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA SUKA DK 8 KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI ELF 1 KUTOKA SUKA STEND KUPELEKWA...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA SUKA DK 10 KUTEMBEA SIFA YA NI Vyumba viwilli vya kulala sebu...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

🚨🔥#APARTMENT #INAPANGISHWA➖➖➖➖➖📍Kimara Korogwe 🕑Umbali kutoka standi ya mwendo kasi km 1 usafil...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NI APARTMENT NZUR MNOOOOO =================INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE ===============...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

(400,000X6) 0759151524KIMARA TEMBONI 3KM BAJAJI 1000➖➖➖➖➖➖➖➖SIFA ZA NYUMBA ✔️ VYUMBA VIWILI ✔️KIMOJ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

200,000 x6. 0759151524MPYA MPYA KABISAHIZI APARTMENT ZINAPANGISHWACHUMBA, SEBILE NA CHOO NDANITAILZY...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

120,000 x6. 0759151524🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA ➖➖➖➖➖📍Kimara korogwe 🕑 Umbali Kutoka stand ya...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

(400,000 × 5,6) 0759151524KIMARA MWISHO ——Apartment nzuri sana Inapangishwa kimara mwisho ===Vyumba...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

450,000 x6. 1/8/2025/APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= X 6 🌟 APARTMENT HII I...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #CHUM...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA 200K X 4🇹🇿 KUHUSU MAONGEZI YA MALIPO YAPO YANA...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

(400,000X6)KIMARA TEMBONI 3KM BAJAJI 1000➖➖➖➖➖➖➖➖SIFA ZA NYUMBA ✔️ VYUMBA VIWILI ✔️KIMOJA MASTER ✔️S...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

(200,000X5) NA (250,000X5)KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI 1.8KM BAJAJI 700➖➖➖➖➖➖➖KU...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 160,000

(160,000X6) NA (120,000X6)KIMARA MWISHO 2.5KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 700➖➖➖➖➖➖➖➖➖NYUMBA YA KUP...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA ➖➖➖➖➖📍Kimara korogwe 🕑 Umbali Kutoka stand ya Mwendokasi, kwa mguu ...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

——300,000 x6. DK 6. ###0656623510 ### 0752436347 APARTMENT YA KUPANGISHA KIMARA SUKA (300,000)KWA ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT Classic For Rent ✨️ Zipo 2 Kwenye Fence Location: KIMARA MWISHO Distance: KM 2 KUTOKA MORO...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT MPYA KABISA ZINAPANGISHWA KIMARA MWISHO KM1.5 KUTOKA ------Chumba master Sebule kubwa Jiko...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA SUKA DK 8 KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI ELF 1 KUTOKA SUKA STEND KUPELEKWA...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

🇹🇿House For Rent #Stand Alone Inajitegemea Yenyewe Kwenye Fence Location: KIMARA MWISHO Distance: ...