Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(350,000X3)KIMARA TEMBONI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI KUBWA SANA INA PANGISHWA
LOCATION: KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
✔️VYUMBA VITATU
✔️CHUMBA KIMOJA MASTER
✔️SEBULE
✔️ PUBLIC TOILET
✔️JIKO KUBWA SANA
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI
KODI 350,000X3X4
IPO NDANI YA FENSI ZIPOMBI2 TUU PARKING SPACE KUBWA SANA
UMBALI KM 2
BODA 1000
BAJAJI 1000
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453