Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
STAND ALONE NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 5
🌟 NYUMBA HII HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA CHUNYE KABATI KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI LENYE MAKABATI
#DAININI
#STORE
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#HII NYUMBA HAINA FENCE UPANDE MMOJA
BEI NI 350,000/= X 5
đź’«đź’« NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA 1000 UPO MUDA WOTE NDUGU MTEJA
0753 989554
0773700963
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20K NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA