Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA KABISA KALI SANA ZA KISASA ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE
ZIPO APARTMENT ZA AINA MBILI TOFAUTI KUINGIA TAR 1.3.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA.
--------
A.
Chumba master
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Full air condition
Free WiFi
Heater ya maji moto maji baridi
Parking space kubwa
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=ร3
----------
B..
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Full air condition
Free WiFi
Heater ya maji moto maji baridi
----------
Kodi 700,000/=ร4
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja tu.
-----------
Contact
๐#0676_218580(WhatsApp)
๐#0693_673010
#dalali_big_kimara ๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐