Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*VYUMBA 3 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI
*ZIKO 4 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU NDANI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA DK10 KWA MGUU, PKPK 1000/=
*KODI 350,000/= KWA MWEZI
______________________________
NB:HII NYUMBA ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 15/8/2024/ KUONA NA KULIPIA LUKSA
=======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
DALALI KISMATI UBUNGO ๐คซ๐ฅ
0772850032