Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(350,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢 #𝗦𝗧𝗔𝗡𝗗_𝗔𝗟𝗢𝗡𝗘
HII NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE
SIFA ZAKE
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LINAWEKWA MAKABATI
#STORE
#CHOO CHA WAGENI
#PAVING BLOCKS
#LUKU NA MITER YA MAJI INAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#NYUMBA IPO KWENYE FENSI INALAZA GARI ND𝗢𝗚𝗢 2
#LOCATION KIMARA MWISHO UMBALI (2) KUTOKA MWENDOKASI
𝗗𝗔𝗟𝗔𝗗𝗔𝗟𝗔 500
USAFIRI BAJAJI 1000
UKISHUKA DAKIKA 2 TUU
BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI × 6
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300