Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
๐ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#MADIRISHA YA NYAVU
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PARKING
KWA WAFUGAJI HAPA NDIO MAHALA PAKE KUNA ENEO KUBWA LA KUFUGIA
BEI NI 300,000/= X 6
๐น๐ฟ NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
๐๐NYUMBA HII INAFANYIWA UKARABATI WOTE WA NDANI NA NJE NA KUPIGWA RANGI SAFI
0679447338
0753454167