Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAUZWA MILIONI 150 MAONGEZI YAPO
NJOO SAITI NA OFA YAKO NDG MTEJA
LOCATION KIMARA SUKA KM 1 TU KUTOKA MOROGORO ROAD
HII NYUMBA INA MPANGAJI ANALIPA KODI 550,000 KWA MWEZI
NA NYUMA PANA SEVARNT KOTA ZA CHUMBA MASTER NA SEBULE #KODI NI 150X6
PIA PANA CHUMBA MASTER #KODI YAKE NI 100X6
HII KUBWA INA VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER KUBWA SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET YA NDANI NZURI KWA FAMILIA YAKO PIA NJE PANA PUBLIC TOILET NZURI
NYUMBA NI NZURI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 AIITAJI MAELEZO MENGI
BEI NI MILIONI 150 #MAONGEZI YAPO
SERVICHAJ ELFU 50000
CONTACT
0712500602 wtsp