Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYAA MPYAA MPYAA KABISA HIZI
==================
LOCATION: KIMARA STOP OVER
=================
HAPA KUNA NYUMBA AINA MBILI TOFAUTI SOMA MAELEZO KWA MAKINI
==================
(A) VYUMBA VIWILLI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
PUBLIC TOILET
JIKO KUBWA LINA FUNGWA MAKABATI
KODI 350,000X6
=====================
(B) VYUMBA VITATU VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
PUBLIC TOILET
JIKO KUBWA LINAWEKWA MAKABATI
KODI 400,000X6
====================
KILA MTU ANA LUKU YAKE
MAJI YAKE YANA FLOW NDANI
===================
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA ZINAWEKWA PEVING ZAKUTOSHA
====================
NDUGU MTEJA NYUMBA HIZI ZITAKUWA TIYALI KWA KUHAMIA KUANZIA TAREHE 1/4/2025
===================
ILA KUONA NA KULIPIA LUKSA
==================
WEKA BOOKING MAPEMA NYUMBA KALI SANA
=================
UMBALI NI KM 1.5
BODA 1000 HADI NYUMBANI
====================
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
==================
NAUKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
====================
CONTACT
0742260844
0657384670