Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam
IMELIPIWA ✅️
Nyumba inapangishwa Kinyerezi Stakishari Pondi.
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Paving
- Parking
- Fence
- Dakika 3 kutoka kituoni
Kodi 350,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 📞 0688 412 890.