Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa Kinyerezi Mwisho. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE.)
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Jiko
- Public toilet
- Maji 24/7
- Water reserve tank
- Parking
Kodi 3000,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga π 0688 412 890.