Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Madale, Dar Es Salaam







MPYA MPYA STAND ALONE KUBWA INAPANGISHWA MADALE USALAMA
PIGA SIMU 0677445508
SIFA ZAKE
VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA,
VYUMBA VIWILI NI SELF,
SEBULE KUBWA,
DINING KUBWA,
JIKO KUBWA LA KISASA,
PUBLIC TOILET,
CHUMBA CHA IBADA/KUJISOMEA,
UMEME NA MAJI MITA INAJITEGEMEA,
FINISHING YAKE ITAKUA KUBWA,
IKIWEMO PARVING BLOCK,GARDEN,
AIR CONDTION(AC),
FENSI NA PARKING NI KUBWA SANA.
LOCATION NI MADALE USALAMA,1.5KM TOKA BARABARA YA LAMI,BODA BUKU,NJIA YA GARI NI RAFIKI SANA.
KODI 800,000 X 6
SERVICE CHARGES
20K KUONYESHWA NYUMBA AU KODI YA MWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA.
NOTE:NYUMBA HII KUBWA YA KIFAMILIA ITAKUA TAYARI KUHAMIA TRH 01/11/25,KUONA NA KULIPA RUKSA.