Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Madale, Dar Es Salaam







Nyumba mpya stand alone kali sana inapangishwa:
Room 3 moja self
Sebule jiko public toilet na maji dawasco
Kodi- laki 7 kwa mwez kuanzia miez 6
Location- madale kwa mayelu
Umbali-km 1.2 kutoka main road madale mwisho
0745559598



















