Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
MPYA INAPANGISHWA
💧Location :: MADALE
💧Bei :: 1,000,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Vitatu (Kimoja ni master)
📍Sebule kubwa
📍Dinning Room
📍Choo cha Public
📍Jiko zuri lenye makabati
📍Makabati Chumbani
📍Fence
📍Full Air Condition Vyumbani na Sebuleni
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
#0782428327
Call /Whatsapp